Max Zengeli Apewa Mkataba Mpya Yanga na Gari Kama Kifungashio

 


Klabu Ya Yanga SC imemwongezea Mkataba wa miaka 2 Max Nzengeli na Hivyo kuitumikia Klabu hiyo kwa miaka 4

Klabu ya Yanga baada ya kuvutiwa na kiwango cha Max Nzengeli uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwili wa Maxi Nzengeli na kumpa mkataba mpya


Mabosi wa klabu hiyo wamempa gari la kifahari na kumuongeza mkataba wa miaka (4). Muda wowote kuanzia leo atasaini mkataba mpya na klabu hiyo.


Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, pia klabu hiyo itamuongeza mkataba mpya wing-back wao, YAO KOUASSI.


Tuko hapa kukujuza





Be sure to be back again for more updates! August 16, 2023 at 03:13AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url