Klabu ya SIMBA kwa sasa ipo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi sita baada ya kushuka uwanjani mara mbili, huku ikielezwa kocha mkuu wa timu hiyo, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ yupo kwenye mipango ya kufyeka wachezaji watatu kabla dirisha la usajili halijafungwa Agosti 31.


RECOMMENDED: VIDEO 

Tazama Alichokifanya Huyu Mchezaji Wa Yanga.


Bonyeza Play Kisha "Allow" ili kutazama


▶️ PLAY


Habari kutoka ndani ya Simba zinasema kuwa wachezaji ambao wameshindwa kulishawishi benchi la ufundi na sasa uongozi unafikiria kuwatoa kwa mkopo kabla dirisha halijafungwa.


Chanzo cha kuaminika kutoka klabu hiyo kuwa Jimyson Mwanuke, kipa Ahmed Feruz na mshambuliaji Mohamed Mussa wapo sokoni kwa sasa kutokana na uongozi kutaka kuwatoa kulingana na mapendekezo ya kocha ili kuliwahi dirisha la usajili lililo wazi sababu kubwa iliyoelezwa ni wachezaji hao kushindwa kuonyesha ushindani wa kutosha ndani ya kikosi na pia uongozi ukitaka wakapate muda wa kutosha kwenye vikosi vingine.





Be sure to be back again for more updates! August 24, 2023 at 01:49PM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url