Azizi Ki Amewaka, Sasa Itakuwaje?

 


Azizi KI gari imewaka, ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kuwa kwenye kiwango kikubwa ambapo kwenye mchezo wa KMC ndiye aliyewafanya viungo na mabeki wa KMC kupoteana kwa kazi yake ya kutawanya mipira na hata kasi yake kuelekea lango la wapinzani akishirikiana na Pacome, ambaye tachi zake zilikuwa ni za ‘mwana ukome’.


YOU MAY LIKE THIS: VIDEO

Tazama Mudathir Alicho Waambia hawa Wachezaji:

Bonyeza Play, Kisha "Allow"


PLAY NOW ▶️







Be sure to be back again for more updates! August 24, 2023 at 02:04PM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url