Ally Kamwe Afunguka Siri Nzito Yanga



Afsa Habari na mawasiliano wa kl.abu ya Yanga sc, Ndugu Ally Kamwe amefunguka malengo ya klaby hiyo Kimataifa.

"Malengo yetu msimu huu Kimataifa ni kuhakikisha tunatinga hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani AFRIKA, mashindano ambayo hatujashiriki kwa muda mrefu, tumeshafanya vizuri kwenye mashindano ya shirikisho na sasa malengo yetu ni kufanya vizuri kwenye ligi ya mabingwa" Ally Kamwe

READ MORE... 





Be sure to be back again for more updates! August 24, 2023 at 05:22AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url