Ally Kamwe Afunguka Siri Nzito Yanga

 


Afsa habari wa klabu ya Yanga, Ally Kamwe amefunguka juu ya malengo ya klabu ya Yanga Kimataifa kwa msimu huu

"Malengo yetu msimu huu Kimataifa ni kuhakikisha tunatinga hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani AFRIKA, mashindano ambayo hatujashiriki kwa muda mrefu, tumeshafanya vizuri kwenye mashindano ya shirikisho na sasa malengo yetu ni kufanya vizuri kwenye ligi ya mabingwa" Ally Kamwe

SOMA ZAIDI...






Be sure to be back again for more updates! August 24, 2023 at 05:02AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url