Matokeo Ya Mechi Za Leo CAF - 20, August 2023


SHILIKISHO:

Bahir Dar Kenema 🇪🇹 Vs 🇹🇿 Azam FC

Azam FC imeanza mashindano ya kombe la Shirikisho Afrika kwa kichapo cha 2-1 dhidi ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia katika dimba la Abebe Bikila, mjini Addis Ababa.


FT: Bahir Dar Kenema 🇪🇹 2-1 🇹🇿 Azam FC 

⚽⚽ Gebre 20’ 60’

⚽ Mbombo 72’


Ni katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.


LIGI YA MABINGWA:

Asas Djibouti Vs Yanga SC

Yanga imeanza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya magoli mawili ikiwa ugenini dhidi ya miamba ya Djibout, Asas Djibouti Telecom katika dimba la Azam Complex, Chamazi.


FT: Asas Djibouti 🇩🇯 0-2 🇹🇿 Yanga SC

⚽ Aziz Ki 22'

⚽ Musonda 53'


Ni katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.






Be sure to be back again for more updates! August 20, 2023 at 10:52AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url