Azizi Ki Atema Cheche

 


Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki kwa msimu huu ameanza na moto, kiasi cha kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo, lakini mwenyewe amefichua zinazombeba huku akiweka bayana namna alivyojipanga kuendelea na kasi aliyoanza nayo arejeshe fadhila Jangwani


Recommend Video:

Tazama Video: WATCH NOW


.“Msimu uliopita sikuwa bora nilipambana, lakini sikufikia lengo la mashabiki na viongozi nimejitafakari na nimeweza kujitafuta na kujipata mwanzo wangu umekuwa bora natamani kumaliza vizuri zaidi ili kukata kiu ya wanayanga walioniamini na kunisajili,” alisema.

.

“Ubora nilionao unatokana na namna timu ilivyosajiliwa sio rahisi kukaa kujisahau wakati kuna wachezaji wazuri kwenye namba ninayocheza napambana kuhakikisha nakuwa bora na naipambania timu kutetea mataji yaliyobaki.”

READ MORE





Be sure to be back again for more updates! August 26, 2023 at 01:47AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url