Mo Dewji Kuachana na Simba SC

 

Mwekezaji wa Klabu ya Simba ambaye pia ni Rais wa Heshima wa Klabu hiyo Mohamed Dewji amesema yuko karibu kukata tamaa kwa klabu ya yake ya Simba kwasababu ya kuendelea kuchelewa kwa mchakato wa mabadiliko ya klabu hiyo ambao hivi sasa unakaribia miaka sita.

Mo Dewji ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuandika maneno yaliyosomeka

 “Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa.”



Kwa maneno kama hayo ni wazi kuwa muda wowote anaweza kustisha udhamini wake kwenye klabu hiyo kubwa nchini Tanzania, Simba SC. 




Be sure to be back again for more updates! July 11, 2023 at 04:16AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url