Hatima Ya Mayele na Yanga SC

 


Bilioni 1.4 Zawekwa Mezani Kumsajili Mayele


Mwananchi wameripoti muda kuu kwamba, ofa nono zilizotumwa na vilabu mbalimbali zimewafanya viongozi wa klabu ya Yanga SC kuwa njia panda, washindwe kuamua wamuuze au wambakishe, Fiston Mayele.


Wamelipoti kwamba klabu ya Pyramids 🇪🇬 imetuma ofa ya $ 600,000 sawa na Tsh 1.4 Billion wakihitaji saini ya Fiston Mayele.


$ 600k — 1,460,999,000.0 Tshs


Wameendelea kusema, bado ofa nono zinamiminika kutoka Saudi Arabia na Qatar wakimuhitaji mshambuliaji huyo.


Maamuzi ya Yanga Kumbakiza au kumuuza Mayele Tumekuwekea Hapa





Be sure to be back again for more updates! July 11, 2023 at 02:35AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url