Klabu ya Soka ya Yanga Imemtambulisha Rasmi Beki Mpya


 BEKI MPYA YANGA, GIFT FRED

usajili yanga 2023/24, usajili yanga, tetesi za usajili yanga leo, tetesi za usajili yanga 2022/23, usajili yanga 2023, tetesi za usajili yanga 2021/22, tetes za usajili yanga, usajili yanga 2023/24, tetesi za usajili yanga na simba, usajili yanga 2022/23 download video, usajili yanga 2023 dirisha dogo, usajili yanga leo

Klabu ya Soka ya Yanga, imemtambulisha rasmi beki, Gift Fred, akitokea nchini Uganda, huku ikitajwa kuwa klabu hiyo imetumia karibu Tsh. Mil. 115, kuipata saini ya beki huyo machachari.


Beki huyo ambaye amekuwa na kiwango bora akiwa na timu ya SC Villa ya nchini Uganda kwa misimu miwili, pia amepewa nafasi karibu mechi 7 na Kocha Micho Sredojevic wa Timu ya Taifa ya Uganda, amewavutia Yanga, haswa katika michuano ya kufuzu AFCON na kuwafanya wampe mkataba wa miaka mitatu.






Be sure to be back again for more updates! July 11, 2023 at 08:32AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url