FRED GIFT - KUJA YANGA SIKUJIFIKIRIA MARA MBILI

 


Usajili Yanga 2023/24

FRED GIFT - KUJA YANGA SIKUJIFIKIRIA MARA MBILI



"Licha ya kupata ofa kutoka timu mbalimbali lakini nimeichagua Yanga badala ya Klabu zingine kwa sababu ya historia yao waliyo nayo pamoja na ukubwa wake na mafanikio yao kimataifa. Ilipokuja ofa yao sikujifikiria hata mara mbili kuikubalia" ~ Fred Gift - Beki mpya wa klabu ya Yanga





Be sure to be back again for more updates! July 12, 2023 at 12:39AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url