TFF Yawafungia Kwa Kushindwa Kulipa Madeni

 Klabu ya Kitayosce inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC, imefungiwa kusajili dirisha hili la usajili mpaka itakapowalipa wachezaji wanaoidai.


Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kupitia kwa ofisa habari wake, Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Kitayosce imefungiwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya wachezaji husika kushinda kezi za madai dhidi ya klabu hiyo.







Be sure to be back again for more updates! August 16, 2023 at 04:18AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url