MAPYA YAIBUKA BAADA YA YANGA KUIFUNGA AS DJIBOUTI 5-1

  


Jana lilipigwa Kambumbu safi ya Klabu bingwa barani Afrika ambapo Yanga waliibuka na Ushindi Wa Magoli 5-0 dhidi ya AS DJIBOUTI.

RECOMMEND: VIDEO YOU MAY LIKE




Baada ya ushindi huo mambo mapya yameibuka kutoka kwa mashabiki wa klabu hiyo huku wakitamba na kujipambanua kama 5G.


5G ni jina jipya wanalojiita mashabiki wa klabu ya Yanga mara baada ya timu yao kupata ushindi wa magoli 5 mara mbili. Ambapo mara ya kwanza walipatabushindi huo katika mchezo wa ligi kuu Tanzania (NBC Premier League) na Mara ya Pili ni hii ya Klabu Bingwa...

READ MORE





Be sure to be back again for more updates! August 27, 2023 at 12:47AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url