Dakika 18 Mchezo Kati Ya Azam FC na Kitayosce Umemalizika



Mwamuzi kapuliza kipyenga cha kumaliza mchezo dakika ya (18'). Feisal  kakabidhiwa mpira baada ya kufunga hat-trick.


Uamuzi huo umefikiwa baada ya kikao kidogo cha waamuzi wakati ambapo Kitayosce walibaki (6) uwanjani kati ya wachezaji (8) walioanza kwenye mchezo.


Kwa mujibu wa kanuni timu inaruhusiwa kuendelea kucheza ikiwa na wachezaji (7) kwenye pitch wao walikuwa (6) baada ya wachezaji (2) kuumia !!


18' — Azam  4 -  0  Kitayosce

⚽⚽⚽ Feisal Salum — 03', 09', 13'

⚽Prince Dube — 05'





Be sure to be back again for more updates! August 16, 2023 at 10:04AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url