Rasmi klabu ya Simba SC Yamuuza Pape Sakho Kwa Mabilioni ya Hela

 


  BREAKING 


Kama Tulivyowajuza hapo awali, 

Rasmi klabu ya Simba SC imetangaza kuwa  imefikia makubaliano na klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kumnunua mchezaji wake Pape Sakho.


Taarifa za awali zinasema kuwa Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa 🇫🇷 umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba kwa ada ya Euro 750,000 (TSh 2 bilioni).


 #NguvuMoja





Be sure to be back again for more updates! July 24, 2023 at 01:51AM
Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url